DSTV

Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Mchengerwa kawajibu wanaohoji Rais Magufuli kujenga Airport kwao Geita (video)

on

Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa alisimama Bungeni Dodoma leo November 9, 2017 wakati wa kuchangia mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka 2018/19.

Kati ya mambo aliyozungumza  Mchengerwa ni kujibu hoja za baadhi ya watu wanaohoji kwanini Rais Magufuli anajenga uwanja wa ndege nyumbani kwao Chato mkoani Geita? …kwenye hii video hapa chini ameongea kila kitu

“Kiongozi ni kusikiliza watu, Serikali mnaficha nini?”Hussein Bashe….. mtazame hapa chini akiongea zaidi

UNAZITAKA BREAKING NEWS FASTAFASTA? Jiunge na Reporter wako Millard Ayo kwa kubonyeza kifuatacho SUBSCRIBE >>> YOUTUBE , APP YA MILLARD AYO, FACEBOOK , INSTAGRAM

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement