Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Vanessa Mdee aeleza jinsi alivyoandika wimbo mpya wa Mafikizolo..

on

Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni kundi la muziki kutoka Afrika Kusini, Mafikizolo lilitangaza kuachia wimbo wao mpya walioupa kwa jina la ‘Kucheza’.Sasa basi good news ni kwamba Vanessa Mdee amehusika katika single hiyo kama mtunzi huku ikiwa imetayarishwa na Dj Maphorisa wa South Africa.

Vanessa Mdee akiongea na millardayo.com & Ayo Tv aliyaongea haya>>>Ilikuwa ndoto yangu kufanya kazi na Mafikizolo  sikutegemea kabisa kuandika wimbo wa Mafikizolo ambao watautoa kama wimbo wao mpya uitwao Kucheza, pili ningependa kumshukuru Dj Maphorisa kwani alinipa mawazo tofauti tofauti kipindi tulipokuwa studio baadae Mafikizolo wakaukubali kwahiyo nitahusika kama mtunzi kwenye wimbo wao mpya’

Unaweza ukabonyeza play kumtazama Vanessa Mdee akieleza jinsi alivyoandika wimbo mpya wa Mafikizolo

ULIIKOSA HII YA JUX KUHUSU DIAMOND KUTOMPOST INSTAGRAM BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement