Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Rayvanny na Ben Pol walivyoimba kwenye 40 ya Nillan

on

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari aitwae Nillan ilikua jana February 11 2017 nyumbani kwao Madale Dar es salaam ambapo mastaa mbalimbali wa bongo walihudhuria na kutumbuiza, unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini kuona ilivyokua

VIDEO: Diamond Platnumz na Zari wakicheza na mtoto wao Nillan kwenye 40 yake, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement