Tangaza Hapa Ad

beef

Meek Mill kaona bora yaishe, kaamua kuandika haya kwenye ukurasa wake @Instagram!

on

meekd

Headlines za Meek Mill na Drake zimeanza kuchukua sura mpya sasa, baada ya ngoma mbili tatu za kurushiana maneno hatimaye Meek Mill kaona bora mambo yaishe!

Meek Mill aliweka picha yake kwenye ukurasa wake @Instagram pamoja na kuandika ujumbe mrefu unaoonesha jamaa hapendi kabisa kuendelea kuendekeza beef la aina yoyote ile, iwe beef la rap au hata la ukweli na rapper wa Cash Money Records, Drake.

meekd2

Kwa sasa Meek Mill yupo kwenye The Pink Print Tour pamoja na mpenzi wake Nicki Minaj na stori nyingine zinaonesha Nicki kachangia kwa kiasi kikubwa kumshawishi Meek Mill kuachana na haya mambo ya beef na Drake kwa vile wana urafiki mkubwana wamekuwa karibu kwa muda mrefu.

Hapa chini nimekuwekea post aliyoiweka Meek Mill Instagram yake ambayo baada ya masaa machache aliifuta.

meek

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement