Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mtanzania anaefuga Mende “mmoja nauza Tsh. 1000, soko ni kubwa mpaka nachanganyikiwa” (+video)

on

Tumezoea kuwanunulia Mende sumu na kuwaua tukiwaona majumbani mwetu lakini Chambinga ameamua kuwafuga mende kwenye Mkoa wa Ruvuma na anaamini watampa umilionea siku moja, yapo maswali mengi kuhusu maamuzi yake, Reporter wako wa nguvu Millard Ayo amemfata mpaka Ruvuma na kujionea kila kitu bonyeza play hapa chini kumtazama

MWANAUME ALIENYANG’ANYA MAJAMBAZI BUNDUKI “NATAMANI KUWA MWANAJESHI”

EXCLUSIVE: NYUMBANI KWA BILIONEA MTANZANIA ALIEUZA JIWE LA ALMASI LA BILIONI 3, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments