Tangaza Hapa Ad

BreakingNews

BREAKING: Mbunge wa Kilombero Morogoro ahukumiwa miezi 6 jela

on

Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali leo January 11 2017 amehukumiwa jela miezi 6 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero.

 Mbunge Lijualikali alishtakiwa kwa kuwashambulia polisi kwenye sikiu hiyo ya uchaguzi.

VIDEO: Mbunge wa kilombero alivyohoji mbele Waziri Nchemba kwanini hapigiwi saluti na polisi

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement