Top Stories

Mrembo na Degree yake amekimbia mitego ya Mabosi na kuwa Fundi nguo (+video)

on

Leo December 5, 2018 Kutana na Zainabu Muruke ni Muhitimu wa Shahada ya Mahusiano ya Umma na Masoko katika Chuo Kikuu cha SAUT, Baada ya kukutana na mitego ya mabosi wakati akitafuta kazi akaamua kujifunza Cherehani na kuanza kushona mashuka na kuwauzia Watu.

Zainabu anasema alipohitimu Chuo alitarajia kupata kazi na aliitwa kwenye Interview baadhi ila hakufanikiwa kupata kazi.

“Sehemu nyingi ili nipate Kazi ni lazima utoe kitu Pesa ama kitu Kingine tofauti na pesa ikawa ngumu kwangu” -Zainabu Muruke

Dogo Janja aonyesha nyumba aliomjengea Mama yake, ‘Vipi Mrembo aliemficha’, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments