Premier Bet

Top Stories

Afukua kaburi la Baba yake aliezikwa miaka mitatu iliyopita achukua blanketi (+video)

on

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Joseph Salun (28) mkazi wa Kijiji cha Mwakwaru Ngalitati katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro amefukua kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa miaka mitatu iliyopita na kisha kutoa mabaki ya mwili wa marehemu huyo nje ya kaburi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa ndugu wa karibu marehemu zimeelea kuwa sababu Kijana huyo Joseph alieleza kuwa amefukua kaburi hilo kwa lengo la kuchukua blanketi lilozikwa nalo marehemu kwa ajili ya kujisitiri wakati huu wa hali ya baridi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Hamisi Issah amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

MKE WA RAIS MAGUFULI AELEZEA ALIVYOKUWA MDOGO “LEO NIMEGUSWA, MLIOMBEE TAIFA”

Soma na hizi

Tupia Comments