Premier Bet

Top Stories

Dr. Bashiru ajibu mapigo “upuzi mtupu mkia wako mrefu mfupi hautuhusu” (+video)

on

Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru akiwa Mkoani Mwanza amesema “Kuing’oa CCM madarakani kunahitaji mkia mrefu, CCM haiwezi kung’oka kupitia mijadala ya kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu kura zinapigwa na wananchi.” Bashiru

“Sikuhizi nasikia kuna mijadala kuna watu wana vipara, wengine wana majipu sijui, lakini kwa misingi ya CCM, binadamu wote ni sawa, wawe mwenye kipara na asiye na kipara. Uwe na mkia, usiwe na mkia, binadamu wote ni sawa” Bashiru

“HAIWEZEKANI KILA JAMBO AELEKEZE RAIS MAGUFULI, NIMEOTA VIBAYA” BASHIRU

Soma na hizi

Tupia Comments