MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mwalimu aacha kufundisha na kuanza kuuza Maji mtaani, aonesha vyeti vyake,

on

Leo July 11, 2018 Bilo Said Bilo kijana anayeishi mkoani Kigoma, baada ya kumaliza masomo yake ya uwalimu mwaka 2015 na kuanza kufundisha katika shule ya Secondary ya wasichana  kwa miezi 7 baada ya kukosa ajira serikalini na kuamua kujitolea katika shule hiyo.

Maamuzi yalibadilika baada ya kuona analipwa pesa kidogo na kuamua kuachana na kazi ya kufundisha na kuamua kufikiria kitu gani cha kufanya kingine, ambapo aliamua kujiajiri kwa kuuza maji dumu moja shilingi 700.

Amesema kuuza maji mtaani kwake imekua frusa kwani vijana wengi pia wanajihusisha na kazi hiyo japo yeye ilimpa ugumu mwanzoni kwakua alikua anafundisha asubuhi halafu jioni anaenda katika shughuli za kuuza maji.

BREAKING: Ambulance imekamatwa na KILO 800 za Dawa za Kulevya

Soma na hizi

Tupia Comments