Premier Bet

Top Stories

Rais Magufuli ampa agizo Waziri Jafo “hakikisha unawapa walichoomba”

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John  Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa TAMISEMI kutoa kibali cha ujenzi wa kituo cha afya kwa Taasisi ya Al-Hikma katika eneo la Temeke lililo wazi jirani na taasisi hiyo kuanzia leo May 19 hadi kufikia May 24 kibali hicho kiwe kimekamilika.

WATU MAARUFU WALIOZALIWA TANZANIA LAKINI SIO WATANZANIA

Soma na hizi

Tupia Comments