Premier Bet

Top Stories

Magufuli alivyomnyanyua Kikwete na Mwinyi kuzungumza “swaumu imemchosha” (+video)

on

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza mbele ya Rais Magufuli “Kuja kwako kunathibitisha mshikamano uliokuwepo katika Taifa letu. Waislam na Wakristo tunaishi nyumba moja, tunaishi nchi moja, hatubaguani na ndio mazoea yetu. Sisi DSM hapa tunaishi nyumba za vyumba sita…cha kimoja kuna Waislam, cha pili kuna Wakristo kingine kuna mwingine bado hajafungamana na upande wowote”

WATU MAARUFU WALIOZALIWA TANZANIA LAKINI SIO WATANZANIA

Soma na hizi

Tupia Comments