Premier Bet

Top Stories

Dada aeleza alivyobakwa na Vijana wanaojipaka oil Kigoma “mara ya tatu” (+video)

on

Wakazi wa Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji wameendelea kulalamika juu ya vitendo vinavyoendelea kutokea katika maeneo yao nakuiomba Serikali kuwasaidia ulinzi kufuatia kuwepo kwa vitendo vya ubakaji hasa nyakati za usiku vinavyoendeshwa Watu wanaojiita ‘Teleza’ na kufikia hatua ya watu wengine kuanza kufungasha mizigo kutafuta nyumba nyingine za kupanga mbali na maeneo hayo.

Hatua hiyo imefuatia baada ya Wanawake wanne kufanyiwa vitendo hivyo katika nyumba tofauti tofauti siku ya Jumapili kuamkia siku ya Jumatatu, wengine wamelazwa katika Hosptali ya Maweni Mkoani Kigoma.

“RAIS MAGUFULI NA BASHIRU WAMEKEMEA RUSHWA HADHARANI, USIWE MUOGA HAKUNA MAAGIZO” NDELE MWASELELA

Soma na hizi

Tupia Comments