PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Rais Magufuli “njooni CCM nyote mliolemewa na mizigo huko Upinzani mpumzike” (+video)

on

Leo August 14, 2018 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli ametaja majina ya wagombea waliopitishwa kugombea katika majimbo yaliyowazi kuwa ni Julius Kalanga Laizer jimbo la Monduli, Mwita Mikwabe Waitara jimbo la Ukonga na Timotheo Paul Mzava jimbo la Korogwe Vijijini.

Akizungumza baada ya kutaja majina hayo Rais Magufuli amesema “Wapo waliohama CCM kisa kuna figisu ila walikohamia wakakuta figisu zaidi kwa hiyo nawaambia njooni CCM nyote mnaolemewa na mizigo mtapumzishwa”

Tazama Rais Magufuli alivyowazungumzia kina Waitara, Kalanga na wengine waliohamia CCM

Soma na hizi

Tupia Comments