Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

Taarifa kuhusu kifo cha Waziri wa fedha wa Tanzania.

on

mgimwa 1Taarifa zilizoifikia millardayo.com ni kwamba Waziri wa fedha wa Tanzania William Mgimwa amefariki dunia leo hospitali ya Milpark nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa.

Taarifa ambazo HAZIJATHIBITISHWA zinasema waziri huyu alianza kuumwa akiwa kwenye ndege akitokea Marekani ambapo kwenye ndege hiyo inadaiwa alikula kitu ambacho  hatakiwi kula kwa sababu kina mdhuru.

Millardayo.com inaendelea kufatilia taarifa zaidi ili kujua mengine ya ziada.

 

Tupia Comments