Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Uokoaji kwenye Mgodi uliofukia watu Mara umesimama

on

Baada ya taarifa za awali za watu 13 kuokolewa wakiwa wamejeruhiwa baada ya kufukiwa ndani ya mgodi Butiama mkoani Mara. 

Taarifa nyingine kutokea Butiama ni kuwa zoezi la uokoaji limesimama kwa muda kutokana na maji kujaa ndani ya mgodi  na juhudi zinafanyika kutoa maji ili zoezi la ukoaji liendelee. Jana miili ya watu wawili ilipatikana na kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Butiama Annarose Nyamubi bado watu wanne hawajaokolewa. 

VIDEO: Kutoka eneo la tukio, Mgodi mwingine wafukia watu Mara, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments