Top Stories

Fundi wa Basi aelezea lilivyofeli breki mpaka kugonga ofisi na kuua

on

October 9, mwaka jana ilitokea ajali ya Hiace na kuuwa watu 12, kwenye Kivuko cha Kigongo Ferry, Leo June 18, 2018  imetokea ajali ya Basi eneo lilelile baada ya kufeli breki na kwenda kugonga jengo la Ofisi eneo la Kigongo Ferry, hadi muda huu taarifa ya Mganga Mkuu Hospitali ya Bukumbi Misungwi inasema mtu mmoja amefariki na wengine 32 ni majeruhi.

Tunaye Fundi wa basi lililofeli breki anatuelezea ilivyokuwa, bonyeza PLAY hapa chini kumtazama.

Mganga Mkuu azungumzia Vifo na Majeruhi katika ajali ya basi leo Kigongo Ferry.

Soma na hizi

Tupia Comments