Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

BREAKING: Polisi yatoa onyo magari JWTZ, Polisi na ambulance yanayovunja sheria

on

Leo June 14, 2018 Kamanda wa Jeshi la polisi Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa limepiga marufuku magari ya serikali, magari ya vyombo vya ulinzi na usalama na yale ya wagonjwa kupita kwenye barabara zisizoruhusiwa kwa kuwa sio matumizi salama.

Mambosasa ametoa marufuku hiyo ikiwa ni siku tatu baada ya gari la wagonjwa la Chuo Kikuu cha DSM kuligonga lori na kusababisha vifo vya watu wa wanne wakiwamo wanafunzi wawili wa chuo hicho.

“Barabara imetengwa kwa ajili ya magari yaendayo kasi matokeo yake wanaleta vurugu na wengine kusababisha ajali” amesema Mambosasa.

BREAKING: Hali ya uchumi wa Taifa katika Mwaka 2017

 

Soma na hizi

Tupia Comments