PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

BREAKING: Rais Magufuli atangaza watakaogombea Ukonga, Monduli na Korogwe

on

Leo August 14, 2018 Kamati Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo imekutana na kufanya kikao chake ambacho kimepitisha majina ya wagombea wa ubunge watatu katika majimbo matatu ya Ukonga, Korogwe Vijijini na Monduli.

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli ametaja majina ya wagombea waliopitishwa kuwa ni Julius Kalanga Laizer jimbo la Monduli, Mwita Mikwabe Waitara jimbo la Ukonga na Timotheo Paul Mzava jimbo la Korogwe Vijijini.

President Magufuli amewashukuru na kuwapongeza Watanzania kwa kuipatia CCM ushindi wa asilimia 100 katika uchaguzi mdogo uliomalizika kwa kuiwezesha kutwaa jimbo la Buyungu Kigoma na kata zote 77.

Waziri Kigwangalla aenda Chuo alichosoma

 

Soma na hizi

Tupia Comments