PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Rais Kim Jong Un akubali kuzuru Marekani

on

Baada ya mkuatano kumalizika jana, Leo June 13, 2018 Shirika la habari la serikali la Korea Kaskazini limesema  kuwa kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong Un, amekubali mwaliko wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kufika Washington.

Kiongozi huyo alipewa mwaliko huo wakati wa mkutano wa historia baina ya viongozi hao wawili nchini Singapore siku ya Jumanne.

Kim pia alimwalika Trump kutembelea Pyongyang.

“Viongozi hao wawili wakuu walikubali mwaliko wa kila mmoja,” shirika la KCNA limeripoti.

Maneno ya Rais Magufuli kwa TB Joshua katika Birthday yake

Soma na hizi

Tupia Comments