Premier Bet

Top Stories

Mmiliki wa Shule ya Luck Vicent ahukumiwa, Baba azungumza hazipiti siku 30 (+video)

on

Mkurugenzi wa Shule ya Lucky Vincent Inocent Moshi ametiwa hatiani na Mahakama ya Hakimu mkazi Arusha kwa kutenda makosa manne ya usalama barabarani na kutakiwa kwenda jela miaka minne na miezi sita ama kulipa faini ya Milioni 1.5.

Mwingine aliyekumbwa na adhabu ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Lucy Vicent ,Vincent Longina aliyekutwa na kosa moja la kuzidisha abiria ambaye amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja ama kulipa faini ya 500,000.

“KABUDI NA MPANGO NIMEWATUKANA PUMBAVU SANA JAPO WANANIZIDI UMRI” RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments