Top Stories

ULGSP 3: Vingine Vingi tumeambiwa kuhusu mji wa KIBAHA

on

Ofisi ya Rais TAMISEMI wanaendelea na Mpango wa Uboreshaji wa Miji bado tunaangalia Kibaha, ambapo Ili kuondoa makazi Holela tayari wameshaandaa Master Plan/ Mpango Kababmbe wa kuboresha Mji wa Kibaha.

Leo June 11, 2018 tutaangazia uimarisha wa mifumo pamoja na utolewaji wa mafunzo kwa watendaji wa kisiasa.

LIVE MAGAZETI: Tundu lissu: hatusalimiki, Samia, Askofu Shoo wafunguka mazito

Soma na hizi

Tupia Comments