Top Stories

Jina alilopewa Dr. Tulia na Wasukuma na fedha alizogawa

on

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dr. Tulia Akson amepewa jina la kabila la Kisukuma baada ya kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Tamasha la maonesho ya Tamaduni za Kabila la Wasukuma linalofahamika kama Bulabo 2018, ambayo ni sherehe ya mavuno.

Akizungumza katika tamasha hilo Dr. Tulia amaesema “amefurahi kupata jina jipya na anaamini kila mtu atalifahamu kupitia vyombo vya habari, jina hilo litamfanya aendeleze utamaduni wa Wasukuma”

Maagizo aliyotoa Naibu Waziri Kilimo Dr. Mwanjelwa katika ziara Njombe

Soma na hizi

Tupia Comments