Top Stories

Jalada la kesi ya ajali iliyoua Wanafunzi 32 wa Lucky Vicent lahamishwa

on

Leo June 19, 2018 Jalada la kesi inayomkabili mmiliki wa shule ya Lucky Vincent, Innocent Moshi pamoja makamu mkuu wa shule hiyo, Longino Nkana limehamishiwa katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha .

Awali kesi hiyo ilikuwa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya wilaya ya Arumeru, Desdery Kamugisha ambaye amehamishwa na sasa kesi hiyo itasikilizwa mbele ya Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Arusha, Niku Mwakatobe.

Ieo mbele ya mahakama hiyo hakimu Mwakatobe alihairisha kesi hiyo hadi July 3 mwaka huu hadi pale mahakama itakapopanga tarehe ya kuendelea kusikiliza mashahidi upande wa Jamhuri.

Jipya la kufahamu katika kesi ya watuhumiwa 61 wa ugaidi Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments