PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Alienusurika afunguka yaliyojificha “Nahodha alikuwa sharo, walisema tusiwapangie” (+video)

on

Ikiwa leo ni siku ya sita Watanzania bado wapo kwenye majonzi tangu itokee ajali ya kuzama kwa Kivuko cha Mv. Nyerere ndani ya ziwa Victoria na hadi sasa inaripotiwa watu zaidi ya 227 wamefariki na watu 41 wakiwa manusura.

AyoTV na millardayo.com imempata Bichompa Sendema ambaye ni miongoni mwa watu walionusurika katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere ambapo anatusimulia jinsi safari yao ilivyoanza mpaka ajali inatokea.

Zoezi la unasuaji wa Kivuko cha MV. NYERERE umefikia pazuri (+VIDEO)

Habari mpya Mume amtambua Mkewe akiwa kaburini, “wametaka kufukua maiti”

Soma na hizi

Tupia Comments