Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kilichosababisha KINGUNGE kurudishwa ICU baada ya mazishi ya Mkewe

on

Leo January 13, 2018 Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu.

Akiongea na AyoTV na millardayo.com msemaji wa familia ya Mzee Kingunge, Kinjekitile amesema kuwa Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo January 10 ili kwenda kushiriki mazishi ya mkewe, Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika Alhamisi.

VIDEO: MUSUKUMA KAFUNGA KAMPENI KUMNADI MGOMBEA UBUNGE SONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments