PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Kosa alilolibaini Rc. Makonda katika tukio la moto Buguruni

on

Leo January 9 2018 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ametembelea eneo  la “Kwa Mnyamani” kwenye mpaka wa Buguruni na Vingunguti, ambapo moto umezuka na kuunguza nyumba moja pamoja na vibanda kadhaa vya biashara.

Akiongea na wananchi wa eneo hilo Makonda amesema suala hilo limetokea kutokana na uzembe  watendaji “Tunajua ni kosa la baadhi ya watendaji kutokuwa na ramani, sababu unapotaka kufanya mradi mwingine lazima uwe na ramani, wenzetu hawakusoma ramani, lazima ujue hapa walipitisha nini.”

Maneno ya RC Makonda na DC Hapi kwenye picha za Freeman Mbowe

 

Soma na hizi

Tupia Comments