Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mke wa Trump afanyiwa upasuaji wa Figo

on

Mke wa Rais Donald Trump, Melania Trump amefanyiwa upasuaji wa figo katika hospitali ya Walter Reed Medical Center.

Stephanie Grisham ambaye ni Msemaji wa Melania, amesema upasuji huo umekuwa wenye mafaninikio makubwa na hakukuwa na matatizo yoyote yaliyojitokeza.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Rais Trump amethibitisha huku akiwashukuru wote waliokuwa wakimuombea mkewe.

Mwandishi wa Habari asimulia alivyotekwa na wafanyakazi wa Ofisi ya RC Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments