Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Agizo lililotolewa na Waziri Mpina kwa Wakuu wa Mikoa 26 nchini

on

May 14, 2015 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina atoa agizo kwa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kuwachukulia hatua kali Viongozi wa chini wanaojihusisha kufadhili Uvuvi haramu.

“Kama ni kuvua mimi siwezi kuvua,nikitaka hata samaki mmoja nyumbani kwangu nitaenda kununua, Viongozi wetu tuungane kupambana, Mkuu wa mkoa ukimkuta mtu anafadhili uvuvi haramu fukuza kazi” amesema Mpina

LIVE AGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikana

Soma na hizi

Tupia Comments