Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Afunguka “Kunitaja tu! mapokezi ya Dreamliner kinyaa, Mungu alishusha mvua” Mzee wa Upako

on

Leo July 12,2018 tunayo story kutokea kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako ambapo amezungumzia mvua iliyonyeesha siku ya kupokelewa kwa Ndege mpya ya Air Tanzania.

Mzee wa Upako amedai kuwa hatua hiyo inatokana na kunyimwa kuombea ndege hiyo, huku wakishindwa kujua kama yeye ni Chief na ndio maana mvua ilinyesha.

Mzee wa Upako: “Ushawahi kunywa sumu, maandamano ni sumu, sheria inazeeka”

 

Soma na hizi

Tupia Comments