PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Mambo matano Mnyika amezungumza mbele ya Rais Magufuli leo

on

John Mnyika mbele ya Rais Magufuli leo “Demokrasia na Maendeleo ni mapacha, tunakuomba Rais unapofanya kazi za Miradi ya Maendeleo vilevile ukatumia fursa hii kuzungumzia kuondoa vikwazo vinavyoikabili Demokrasia ya Nchi ambayo tunaamini vitasaidia Nchi kusonga”

“Rais umepiga marufuku kuzungumzia kauli ya vyuma kukaza lakini ukweli vyuma vimekaza, vyuma havijakaza kwa Mafisadi peke yake, vyuma vimekaza kwa Wananchi wa kawaida” Mnyika 

“Naamini Watanzania wamekuombea usiwe na kiburi, Wananchi wana malalamiko juu ya Bomoabomoa nakuomba kwa kutanguliza utu, Mwl. Nyerere alisema maendeleo ni ya vitu lakini maendeleo zaidi ni ya watu tafakari kuwalipia fidia Wananchi waliopisha ujenzi huu” Mnyika 

“Ukisikia Wafanyakazi wa Umma wanalilia kikokotoo, wengine wamepandishwa madaraja hawajapandishwa mishahara, Wafanyabiashara wanalia Mtaani, Rais ukipata nafasi ya kuzungumza pamoja na uzinduzi utatoa matumaini ya Taifa kwa 2019 na 2020” Mnyika


“Kuna mambo matano yanatoka kwa Mbowe ambayo anawaomba Watanzania na wewe Rais muyatafakari tunapoingia mwaka 2019” Mnyika

KUBENEA “RAIS DUMISHA DEMOKRASIA, WATU WANA MANUNG’UNIKO, TUMIA BUSARA”

Soma na hizi

Tupia Comments