Top Stories

‘TUMEKAA NA WAKANDARASI, KAZI ZOTE WAPEWE WANACHI WA TEMEKE’ -Mratibu Eduard

on

Leo April 16, 2018, AyoTV inakusogezea UPDATES zote kutokea kwenye Mradi wa Uboreshaji wa Jiji la DSM (DMDP), tunaanza kwa kumsikiliza na kumtazama Afisa Habari wa TAMISEMI Rapahael Kilapilo akiongelea ujenzi wa daraja la Kijichi Twangoma pia utawasikia wananchi wakiongelea faida ya ujenzi wa daraja hilo.

Tunategemea daraja hili likikamilika litawanufaisha wananchi wa Kijichi Twangoma, awali sehemu hii ilikuwa korofi, hakika serikali imefanya kazi kubwa sana kupitia mradi wa DMDP ambao umeleta mabadiliko makubwa sana katika Jiji la DSM” -Kilapilo

TAHADHARI kwa wanaotumia Barabara zilizopo mkoani Pwani

Soma na hizi

Tupia Comments