PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

ALIYENUSURIKA: “Lawama zote kwa Nahodha”, “nilitupa pesa ukizama nazo unakufa, nitatoa sadaka”

on

Watanzania bado wapo kwenye majonzi tangu itokee ajali ya kuzama kwa Kivuko cha Mv. Nyerere ndani ya Ziwa Victoria na hadi sasa inaripotiwa watu zaidi ya 227 wamefariki na watu 41 wakiwa manusura.

AyoTV na millardayo.com imeongea na Hezrom Maugo ambaye ni miongoni mwa watu walionusurika yeye anasema ametenga fungo la kutoa Sadaka ya Shukrani.

UKARA: Mume alivyoutambua mwili wa mkewe kwa kukariri nguo ni baada ya siku sita

Soma na hizi

Tupia Comments