Top Stories

BREAKING: KIVUKO CHA MV. NYERERE KIMEZAMA KIKIWA KIMESHEHENI ABIRIA

on

Taarifa iliyotufikia muda huu kutoka mkoani Mwanza ni kuwa Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukara katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa zikidai kilikuwa na watu 500 waliokuwemo ndani ya kivuko.

Mwandishi wa AyoTV na millardayo.com yupo njiani kuelekea eneo la tukio, taarifa kamili kukujia hivi punde.

Soma na hizi

Tupia Comments