Video Mpya

VideoMpya: Hanscana kahusika kwenye hii ‘Nani Nimtume’ ya MedMedko

on

Leo June 18, 2018 Nakusogezea Video iliyoongozwa na Hanscana na Audio imetengenezwa na C9 Kanjenje inaitwa ‘Nani Nimtume’ kutoka kwa mkali MedMedko, Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama usisahau kuacha comment yako ili MedMedko akipita aone umeipokeaje.

LIVE MAGAZETI: Zitto: Bajeti inatia shaka, Basi la Mbunge Msukuma lauwa watano

Soma na hizi

Tupia Comments