Video Mpya

VideoMpya: Karibu kuitazama ‘Sangida’ kutoka kwa Golden Dee

on

Leo July 10, 2018 Mtu wangu nakusogezea video mpya ya Golden Dee inayokwenda kwa jina ‘Sangida’ Director Eris Mzava kutoka Extra Focus. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama kisha usisahau kuacha comment yako ili Golden Dee akipita aone umeipokeaje.

Nisha Bebe penzi moto moto na mzungu “Walimwengu sijui mna nini?”

Soma na hizi

Tupia Comments