Top Stories

Rais Magufuli amteua Mwenyekiti mpya Bodi ya TANROADS

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Dalmas Lucas Nyaoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).

Dkt. Nyaoro ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), anachukua nafasi ya Hawa Magogo Mmanga ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi wa Dkt. Nyaoro umeanza tarehe 10 Oktoba, 2018.

BREAKING: Imethibitishwa MO DEWJI katekwa “wamepiga risasi juu wakakimbia nae”

Soma na hizi

Tupia Comments