Top Stories

PICHA: Familia ya MO DEWJI ilivyotangaza dau la BILIONI 1.

on

Leo October 15, 2018 Familia ya Mfanyabisahara na mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji, imetangaza dau la Shilingi Bilioni 1 kwa atakayefanikisha kutoa taarifa za za kupatikana kwa mtoto wao.

Nimekuwekea PICHA 6 za kwenye Press Confrence ya Familia ya MO DEWJI .

BREAKING: Familia ya MO Dewji yavunja ukimya yatangaza dau la BILIONI 1

Soma na hizi

Tupia Comments