Top Stories

RC Mwanri achekelea alipoombewa abaki Tabora na Bashe “anasukumia mambo mengi” (+video)

on

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ameipigia debe kauli ya RC Mwanri ‘Sukuma ndani’ kwa kuleta mabadiliko katika Mkoa wa Tabora na amemuomba Makamu wa Rais kutomhamisha kutokana na utendaji kazi wake.

“Mwanri aendelee kubaki Mkoa wa Tabora na hii falsafa yake ya ‘kusukuma ndani’ anasukuma mambo mengi kweli mengine tunavutana nae sisi wawakilishi, kuhusu vitambulisho inawezekana mtu hana 20,000 ya kulipa mara moja tuangalie utaratibu na kutengeneza mfumo mzuri wa kuendesha zoezi hili” Hussein Bashe

INJINIA ALIEAMBIWA SOMA HIYOO NA MWANRI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS

Soma na hizi

Tupia Comments