Top Stories

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB katambulishwa leo (+video)

on

Ni headlines za Abdulmajid Mussa Nsekele ambae leo October 10, 2018 katambulishwa rasmi mbele ya watendaji na waandishi wa habari kuwa ndie Mkurugenzi mtendaji mpya wa benki ya CRDB.

Nsekele ameishukuru Bodi ya CRDB kwa kumuona kuwa anafaa kuchukua nafasi ya Dr. Charles Kimei nakuahidi kufanya kazi ili Benki hiyo isonge mbele kwani ukubwa wa Benki hiyo Tanzania unamfanya ajiamini kufanya vizuri.

Dj Sinyorita “Wanaume wakikosa Nguvu za Kiume tunaathirika Sisi” | Shadee “Wanaume wa mbea”

Soma na hizi

Tupia Comments