Video Mpya

VideoMpya: Kiki ya MC Pilipili & Mwijaku kumbe ni wimbo ‘Nimwage Radhi’

on

Ndani hizi wiki mbili zili-trend stori za Mwijaku na MC Pilipili wakirushiana maneno mitandaoni kuwa Mwijaku kaoa aliyekuwa mchumba wa MC Pilipili. True story ni kwamba ile ilikuwa ni video ya wimbo mpya wa Mrisho Mpoto aliomshirikisha Harmonize unaitwa ‘Nimwage Radhi’… >>>Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama 

January Makamba baada Simba kufungwa mbele ya JPM na hadithi ya Nyerere

Soma na hizi

Tupia Comments