Top Stories

Mzee Mwinyi kalazwa, Rais Magufuli na Familia wamfanyia dua (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi ambaye amelazwa hospitalini.

Pamoja na kumjulia hali pia Rais Dkt. Magufuli ameshiriki dua ya kumuombea afya njema iliyoongozwa na familia ya Mzee Mwinyi.

TAARIFA MPYA TOKA IKULU: RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA.

Soma na hizi

Tupia Comments