Top Stories

Madhara anayoweza kupata mtoto aliekosa maziwa ya mama (+video)

on

Inawezekana ukawa haufahamu athari zinazoweza kuwapata watoto wadogo wenye umri ya chini ya miaka mitano ambao hawapati malezi na makuzi sahihi ikiwemo kunyonya maziwa ya mama, Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Patrick Golwike ambapo amataja baadhi ya athari hizo ni pamoja na watoto kupata udumavu.

LIVE: ESTER BULAYA AZUNGUMZIA MAFAO KWA WASTAAFU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments