Top Stories

Msimamo wa CCM juu ya ishu ya Membe na Dk. Bashiru “chuki, uhasama” vyatajwa (+video)

on

December 4, 2018 Chama cha Mapinduzi kimezungumzia mjadala unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wito alioutoa Katibu Mkuu wake Bashiru kwa Benard Membe ambaye ni Mwanachama wa CCM.

“Tunapenda kutoa rai kwa watanzania kuwa wito wa Katibu Mkuu ulikuwa ni wito wa kawaida wa Kiongozi wa CCM kwa mwanachama wa CCM, hivyo uzushi, uchonganishi, fitina na uvumi mwingine wowote unaoendelea hasa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya Magazeti yenye hila mbaya, wana CCM na Umma wa watanzania wanaombwa waupuuze.” Polepole

WAZIRI MKUU AWAONYA MA-RC, MAWAZIRI JUU YA MATUMIZI MITANDAO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments