Top Stories

Waziri Mkuu ”Makampuni ya ndani tukiwapa kazi mna-relax haturidhiki” (+video)

on

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameonyesha kutoridhishwa na ujenzi wa barabara ya Nyanza yenye Kilometa 50 inayoanzia Nyankanazi Mkoani Kagera hadi Kijiji cha Kabingo Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma baada ya kudumu kwa zaidi ya miaka sita bila kukamilika.

Waziri Mkuu ameeleza hayo alipotembelea barabara hiyo inayoanzia Wilaya ya Biharamulo Mkoani Kagera hadi Kijiji cha Kabingo Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma iliyoanza kujengwa tangu mwaka 2014 na kutakiwa kukamilika mwaka 2016 ambapo hadi sasa ujenzi wake umefikia asilimia 60 huku ikiwa na thamani ya shilingi bilioni 45.

WANANCHI TANGA “RAIS MAGUFULI ALISEMA TUSIHAMISHWE TANAPA WANATUMIA NGUVU”

Soma na hizi

Tupia Comments