Top Stories

‘Bustani ya Mungu’ ina Maua 40 hayapatikani popote Duniani (+video)

on

Ukifika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini moja ya kivutio ambacho kinasifika kwa upekee wake ni ‘Bustani ya Mungu’ maarufu kama Hifadhi ya Taifa ya Kitulo ambayo ni ya 14 kuanzishwa hapa nchi mwaka 2005. Hifadhi hiyo ina ukubwa wa Kilomita za mraba 365.

Ina maua aina 350 ambapo aina 40 hayapatikanani sehemu yoyote duniani. Imepakana na mikoa ya Njombe na Mbeya.

MREMBO NA DEGREE YAKE AMEKIMBIA MITEGO YA MABOSI NA KUWA FUNDI NGUO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments