Top Stories

“Kumezuka watekaji Watoto Kigoma tukikamata watakusahau” Waziri Mkuu (+video)

on

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewaonya baadhi ya watu wanaojihusisha na shughuli za ujambazi pamoja na unyang`anyi na utekaji watoto kisha kudai fedha kuacha tabia hiyo na kuagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha vina tokomeza vitendo hivyo.

Wamiliki wa Migodi wadaiwa kuhusika na ukeketaji “Manga’riba wana wadanganya”

Soma na hizi

Tupia Comments