Top Stories

Dogo Janja kaamua kukarabati Shule aliyosoma Arusha (+video)

on

Msanii wa Bongofleva Dogo Janja leo amerudi kwenye Shule aliyosoma kuanzia Darasa la Kwanza hadi la Saba Shule ya Ungalimited nakutoa ndoo Ishirini za rangi pamoja na kukarabati Shule hiyo kwa kuezeka Mabati 

TAARIFA MPYA TOKA IKULU: RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA.

Soma na hizi

Tupia Comments