Top Stories

Kauli ya Mbunge Hawa Ghasia kwa wanaokosoa maamuzi ya JPM

on

November 14, 2018 Wabunge walikuwa wakichangia mapemdelezo yao katika azimio la Bunge la kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada na maamuzi mbalimbali na kuwainua wananchi wanyonge hasa wakulima wa korosho, ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni pamoja na mbunge wa Mtwara vijijini Hawa Ghasia.

LIVE MAGAZETI: “Katiba mpya lazima”, Shule yachunguzwa kwa ushoga

Soma na hizi

Tupia Comments