PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Waziri Mbarawa alivyomtimua Mtaalamu kwa kutoonekana site (+video)

on

Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa amefumkuza Mtaalamu wa miamba Amiri Msangi ambaye amekataa kukaa katika eneo alilopangiwa kwa ajili ya kujifunza teknolojia ya miamba katika eneo la Olgilai wilayani Arumeru, Arusha nakuagiza Katibu Mkuu kumrudisha wizarani.

Mbarawa amefikia maamuzi hayo wakati wa ziara ya kutembea miradi mbalimbali ya maji pamoja nakushuhudia utiaji saini wa Bilioni 520 zitakazosaidia kuondoa tatizo la maji katika Mkoa wa Arusha.

TOP 10: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUMHUSU JAKAYA KIKWETE

Soma na hizi

Tupia Comments